Loading...
Wasemavyo Wanasiasa kwenye kurasa zao za Facebook na Twitter..
Katibu Mkuu wa CHADEMA kwenye twitter asema...
Dr. Wilbrod Slaa @wilbrodslaa
@jjmnyika Kazi iendelee. Umma uko nyuma yako. Hongera kwako, Wana - Ubungo na Watanzania wote!
Mh.Halima Mdee kupitia twitter ameandika pia...
Hongera kwa Mnyika, Wananchi wa Ubungo na Wanachadema wote nchi nzima!
PIA Mdee anakoleza zaidi..
Halima J Mdee @halimamdee
Hakika mzigo mzito umetoka mabegani mwa Mnyika, Wanaubungo ,Wanachadema na Watanzania wapenda mabadiliko! Ni kupiga mzigo sasa!
Nae Joshua Nasari Mbunge wa Arumeru Mashariki akaandika..
HONGERA SANA KWA USHINDI KAMANDA JOHN MNYIKA,NA WAPAMBANAJI WOTE WA UBUNGO
Kutoka Ukurasa wake wa Facebook Zitto Kabwe asema....
Hongera sana Kamanda John Mnyika na wananchi wa jimbo la Ubungo kwa ushindi kwa mara ya pili
Pia Zitto Kabwe Kwenye twitter anasema...
Hongera sana Kamanda @jjmnyika & wananchi wa jimbo la Ubungo kwa ushindi -mara ya pili @freemanmbowe @wilbrodslaa @chadematz @halimamdee
AKIZIDI KUCHAGIZA....
Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe
@jjmnyika congratulations for the confirmation by the court. The people of Ubungo and Tanzanians are happy, very happy, no more distraction
Post a Comment
CodeNirvana