Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Mh.H.Mdee na kuporomoka kwa sekta ya Kilimo na Uvuvi


Halima J Mdee ‏@halimamdee

Hali ya uchumi kwa mwaka 2011/12:ukuaji wa sekta ya kilimo kinachojumuisha mazao, mifugo na misitu imeporomoka toka 4.2%-3.6%.

ukuaji wa Sekta ya uvuvi iliporomoka toka 1.5%(mwaka 2010-11)-1.2%(mwaka 2011-12).

UPTODATE 'Tweets'Kuelekea Kusomwa Bajeti...
Ukuaji wa Sekta ya viwanda na ujenzi iliporomoka toka 8.2%(2010-11) mpaka 6.9%(2011-12).

ukuaji wa shughuli za Uzalishaji viwandani uliporomoka toka 7.9%(2010-11) mpaka 7.8% (2011-12).

ukuaji wa Sekta ya umeme na gas uliporomoka toka 10.2%(2010-11)mpaka 1.5%(2011-12)

ukuaji wa Sekta ndogo ya ujenzi uliporomoka toka 10.2%(2010-11) mpaka 9.0%(2011-12).

ukuaji wa Sekta ya usambazaji maji uliporomoka toka 6.3% mwaka 2010-11,mpaka 4% mwaka 2011/12.

Kiwango cha ukuaji wa shughuli za uchumi katika sekta ya huduma kiliporomoka toka 8.2%(2010-11)mpaka 7.9%(2011-2012).

Ukuaji wa sekta ya mawasiliano uliporomoka toka ukuaji wa 22.1%(2010-11)mpaka ukuaji wa 19%(2011-12)

Ukuaji wa shughuli za biashara na matengenezo ziliporomoka toka 8.2%(2010-11) mpaka 8.1%(2011-12)

Ukuaji shughuli za utoaji huduma ya elimu ulikuwa kwa 7.4%(2011-12)ukilinganisha na 7.3%(2010-11).hapa japo nafuu.

Ukuaji wa sekta ya afya uliporomoka toka 6.9%(2010-11)mpaka 5.4%mwaka (2011/12)...

Maeneo ambayo ni ndoto kufikia malengo ya milenia ni pamoja na vifo vya watoto wachanga na walio chini ya 5 years!.. @magamba

Kwa mujibu wa Wassira lengo lingine la mkukuta mbalo ni ndoto kutimia ni kupunguza umasikini wa wananchi wanaoishi kwa chini ya $1kwa siku.

Kiwango cha uchumi kwa mwaka 2011-12 kilikuwa kwa 6.4% ikilinganishwa na 7.0%(201-11).ukuaji huu ni chini ya shabaha ya mkukuta 11.

Shabaha ya Mkukuta 11ilikuwa ukuaji wa wastani wa 8%-10% ....@magamba

pamoja yote hayo inasemekana pato la wastani la kila mtu limeongezeka toka 770,464/-869,436/-..
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top