MWANAMZIKI
nguli nchini Diamond ameendelea kuhakikisha anatumia kila fursa
inayokuja mbele yake,ambpo hivi karibuni mara baada ya kusaini mktaba
mnono wa mamilio ya pesa,staa huyo akiwa na timu yake nzima na maofisa
wa vodacom walizuru nchini South Afrika kwa ajili ya kukamilisha kazi
mbalimbali za kibalozi ambazo zinamuhusu Diamond.
Diamond ameandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram
Kwa sasa nipo
South Africa kikazi lakini wiki ijayo nikirudi tu Tanzania nataka nitoe
zawadi kwa watu 30.... ambao watakuwa wako na line ya Vodacom ntawaekea
Vocha ya Elf Hamsini 50,000/= kwa kila Mmoja na Internet ya Mwezi Mzima
Bure!!!!